Itakuwa siku ya wapendanao (Valentine day) 14 February 2015 ambapo baadhi ya mastaa wa muziki na muvi wata uwasha moto mkoani Mtwara. Mastaa hao ni wataalamu wa stage kwenye Tasnia ya muziki wa kizazi kipya hapa Tz, na miongoni mwao ni kama Weusi, Shaa, Richi Mavoko, bila kusahau mwigizaji Wolper ambaye akisimama jukwaani huleta tabasamu kwa kila mmoja na ndiye atakaye kuwa MC
Ngoma Mpya Kamata Happa
Mtwara Kuvamiwa NaWakali Wa Jukwaa (VALENTINE DAY)
Reviewed by habari motto
on
4:14 PM
Rating: