Mbunge Auawa Kwa Kupigwa Risasi

Mbunge wa jimbo la Kabete,  George Muchai ameuawa kwa kupigwa risisi kwenye mji mkuu wa kenya Nairobi.
Ripoti za polisi zinasema kuwa mbunge huyo wa Kabete, eneo lililo nje kidogo ya mji wa Nairobi aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo.Walinzi wake wawili,dereva pia nao wameuawa.
Polisi wanasema kuwa watu waliokuwa na silaha walilifuata gari la mbunge huyo kutoka eneo la Westlands kabla ya kulimiminia rasasi ndani ya mji wa Nairobi.
VIDEO HAPA



Mbunge Auawa Kwa Kupigwa Risasi Mbunge Auawa Kwa Kupigwa Risasi Reviewed by habari motto on 4:10 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.