Shuhudia Uwanja Wa Taifa "Shamba La Bibi", Baada Ya Ukarabati Toka Angani


Uwanja wa Uhuru Maarufu kama "Shamba la Bibi" ukiwa kushoto mwa Uwanja Mkuu wa Taifa ambao bado haujapewa jina rasmi unavyoonekana leo baada ya kuwekwa paa upande wa "Urusi".
Haijajulikana bado lini utaanza kutumika na kuupumzisha Uwanja wa Taifa ambao ndilo kimbilio la shughuli karibu zote za michezo  na za jamii.

VIDEO HAPPA
Shuhudia Uwanja Wa Taifa "Shamba La Bibi", Baada Ya Ukarabati Toka Angani Shuhudia Uwanja Wa Taifa "Shamba La Bibi",  Baada Ya Ukarabati Toka Angani Reviewed by habari motto on 4:08 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.