Raisi Mpya Wa Zambia Ahitajika Kutibiwa Nje Ya Nchi

8276F84B-BB1E-4CD0-BF87-2392C3E7C4BB_w640_r1_s
Madaktari huko Zambia wanasema rais mpya aliyecheguliwa hivi karibuni nchini humo Edgar Lungu anahitaji matibabu nje ya nchi kwa ugonjwa uliosababisha yeye kuanguka mbele ya umma Jumapili.
Ofisi ya rais wa Zambia imesema Bw.Lungu anaugua ugonjwa wa Achalasia ambao unapelekea kusinyaa kwa mshipa wa chakula na matatizo yanayoweza kujumuisha maumivu ya kifua na kushindwa kumeza chakula na maji.
Taarifa iliyotolewa jumatatu inasema kwamba madaktari wamependekeza rais huyo akafanyiwe matibabu ya hali ya juu kiteknolojia ambayo hayapatikani nchini Zambia na wametaka apelekwe nje ya nchi kwa matibabu.
Raisi Mpya Wa Zambia Ahitajika Kutibiwa Nje Ya Nchi Raisi Mpya Wa Zambia Ahitajika Kutibiwa Nje Ya Nchi Reviewed by habari motto on 4:45 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.