Serikali ya Burundi inaonyesha operesheni ya upunguzaji wa silaha kwa vijana wanachama wa vyama vya siasa waliokabidhiwa Silaha
"Sasa wakati umefika kurejesha silaha kwa wale ambao umiliki silaha kinyume cha sheria! "Hiyo ilikuwa onyo kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Jumatatu, Juni 8, 2015, wakati wa mkutano kati ya CENI na washirika katika mchakato wa uchaguzi. Yeye, hata hivyo, alisema kuwa upunguzaji wa silaha utafanyika ndani ya wiki mbili, ili kuheshimu mapendekezo ya mkutano wa kilele mjini Dar-Es-Salaam.
Siku mbili kabla ya mwisho wa operesheni hii, maafisa wa Tume ambao wanausika kwa operesheni hio awakutoa maelezo yoyote. "Kazi inaendelea kwa upunguzaji wa silaha na utakamilika baada ya wiki mbili,bado hatuna jibu ya kutoa mbele ya taifa kabla atuja maliza operesheni," alisema mtendaji wa tume waupunguzaji wa silaha.
Philippe Nzobonariba amesema kwamba serikali ya Burundi lazima iwe tayari kufanya kazi na waangaliziwa haki za binadamu na wataalam wa kijeshi, ili wapate ufumbuzi muzuri kwa upunguzaji wa silaha kwa vijana.
Hata hivyo, Alain Nyamitwe Aimé, Waziri wa Mahusiano ya Nje, ameweka masharti: "Tunahitaji bayanakujuwa nchi gani ambayo itakuja na wataalam wa kijeshi, idadi yao, wapewe mamlaka ya wazi. Kila kitu hutegemea juu ya kasi ambayo Umoja wa Afrika itachukua kwa kesi hii. "
Upunguzaji wa silaha inatishia vitongoji ambazo zinapinga muula wa tatu wa raisi na waandamanaji."Maafisa wa polisi wanajifanya kutafuta silaha, wakati katika hali halisi wanataka kutuzuia," anasemamkazi wa Kinanira.
Alhamisi iliyopita, alisema, wa polisi walitaka kutuweka chini ya ulinzi kwa sababu walikuta chupa tupu yaHeineken chumbani kwetu, lakini tumewaziwiya. "wametutumu kama tunatumia chupa izi kwa kutengeneza pombe bandiya. " Mutakura vijana Anaongeza kuwa polisi walifika kuangalia silaha barabara ya 13Cibitoke, walijaribu kuzuia kijana ila wakashindwa. " walimtuhumu kuwa kijana uyo amewapiga mawe. "
Watu wanauliza kwanini operesheni hii inalenga vitongoji.vijana wa chama tawala CNDD-FDD awana wasiwasi wakati wao ndio wanao miliki silaha.
Leonce Ngendakumana anaamini kwamba upunguzaji wa silaha si kesi ya Waziri wa Mambo ya Ndani. Ili pawe upunguzaji wa silaha halisi, rais wa ADC-Ikibiri amesema kwamba wadau wote waje pamoja ili kufanya uchunguzi kwanza kisha Rais atachukua uamuzi wa sera juu ya kuwanyang'anya silaha na kupigwa mrufuku wa wanamgambo wake. "
anaamini kwamba mchakato huu lazima uwe wazi kwa sababu nikwa usalama wa nchi.
Leonce Ngendakumana inaonyesha kwamba hii operesheni lazima wataalam wa kigeni ndio waje kuendesha kazi hii kwa usalama wa kila mtu.
"Serikali ambayo inawapa silaha wanamgambo Imbonerakure hawezi kuwanyanganya. "anajuwa kwamba vijana hawo wana kazi ya kutetea muula wa Pierre Nkurunziza dhidi ya raia, hasa wa upinzani na vyama vya kiraia.
Rais wa APRODH anasema kuwa chama kinachotawala inawagawiya wa Imbonerakure silaha wakatiwengine wanataka kurejesha silaha. Ameongeza akisema : "Je, operesheni iyo wataweza kwa wiki mbilitu wakati awakufaulu kwa zaidi ya miaka mitano? "
Kwa M.Mbonimpa, suala la upungufu wa silaha sio kazi wala suala la polisi kwa sababu ni mapendekezo ya kila mtu. "Ni tume ya wataalam wa kigeni kusalimisha silaha kwa makundi yote ya vijana nawanachama wa vyama vya siasa wanaweza kuwahakikishia Burundi yote. "
Insurance
Loans
Mortgage
GARI MPYAA... KWA BEI POA SANAA, NI
RAHISI SANA KUIPATA>>>>
Serikali ya Burundi Yaanzisha Operesheni Kabambe
Reviewed by habari motto
on
7:47 AM
Rating:
