Yanga Wakiwasili Uwanja Wa Taifa Kuivaa KMKM

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mbrazil, Andrey Coutinho akishuka kwenye basi la Yanga muda mfupi uliopita tayari kwa mechi ya saa 10:00 dhidi ya KMKM ya Zanzibar
Yanga wakiwasili 1
Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (mbele) na Haruna Niyonzima (nyuma yake) wakielekea vyumba vya kubadilishia nguo tayari kwa kipute cha Kombe la Kagame dhidi ya KMKM
Yanga wakiwasili 2
Joseph Zuttah kushoto anaanzia benchi leo
Yanga wakiwasili 5
Kocha msaidizi wa Yanga na kocha mkuu wa Taifa Stars, Charles Mkwasa atakuwa kwenye benchi la ufundi akimsaidia mkuu wake, Mholanzi, Hans van der Pluijm.
Yanga wakiwasili 4

Yanga Wakiwasili Uwanja Wa Taifa Kuivaa KMKM Yanga Wakiwasili Uwanja Wa Taifa Kuivaa KMKM Reviewed by habari motto on 7:35 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.