
Maelfu ya mashabiki wa timu hiyo walikusanyika katika uwanja wa ndege mbele ya kasri ya Rais,na katika mitaa ya mji mkuu Lisbon kusheherekea ushindi huo wa kwanza kwa nchi hiyo.
Wametajwa kama mashujaa wa nchi hiyo.
Mjini Paris Francois Hollande alikutana na timu ya Ufaransa iliyoshika nafasi ya pili kwenye kasri yake ya Elysee.
Rais Wa Ureno Alivyokaribisha Timu Yake Ya Taifa
Reviewed by habari motto
on
6:51 AM
Rating:
