Mwanadada Elizabeth Michael LULU amekanusha kushirikishwa katika nyimbo wa wasaani wa HIP HOP nchini Tanzania MAPACHA iitwato - time for the money.
Mkali huyo wa bongo movies amekata kabis kwamba hausiki na nyimbo hiyo

MAPACHA WALIPOHOJIWA NA CLOUDS FM KATIKA KIPINDI CHA XXL WALISEMA WAMEFANYA KAZI NA LULU
ILA LULU MWENYEWE KUPITIA MTANDAO WA INSTAGRAM KASEMA KUWA YEYE HAJAHUSIKA WALA HATA IDEA HANA KABISAA..

HATIMAYE LULU KUSHANGAZWA NA MAPACHA
Reviewed by habari motto
on
12:13 AM
Rating:
