MATUKIO KILI MUSIC TOUR -- IRINGA


MWENDO NI KIKWETU KWETU NA KAMA KAWAIDA TENA Wakazi wa Iringa wameifunga awamu ya kwanza ya Kilimanjaro Music Tour wakiwa wamefurika katika Uwanja wa Samora kushuhudia wakali wa muziki nchini wakitoa burudani bila kujali hali ya hewa ya baridi.
Wakali wa Muziki akiwemo Snura, Linex, AY, Mwana FA, Profesa Jay, Izzo Bizness, Joh Makini, Juma Nature, Mwasiti, Nikki wa Pili na Gnako  walilishambulia jukwaa kwa takribani saa sita mfululizo na kukonga nyoyo za maelfu waliojitokeza kushuhudia Tamasha hilo.










MATUKIO KILI MUSIC TOUR -- IRINGA MATUKIO KILI MUSIC TOUR -- IRINGA Reviewed by habari motto on 9:54 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.