Peter Okoye wa P Square ameonesha magari mapya ya kifahari yaliyoingia
hivi karibuni katika garage ya familia yao
Amepost
katika Instagram picha kadhaa zinazoonesha magari hayo na kuandika maelezo
yanayoonesha ni magari yaliyoingia katika jumba la Square Ville hivi karibuni
na sio magari yote wanayomili.
“Crazy
Squareville…New Arrivals…Don’t worry God will do same for u… #hardwork”
Magari
mapya aliyoonesha ni pamoa na Wrangler Jeep ya mwaka 2014 ambayo kwa sasa
inauzwa zaidi ya $22,395 na Bentley ya mwaka 2014 ambayo inauzwa kuanzia
$177,500.
UFAHARI WA P SQUARE
Reviewed by habari motto
on
6:54 AM
Rating:
