Aliingia kumaliza kazi!: Memphis Depay akitokea benchi
amefunga bao la tatu kwa shuti la mbali na kuipa ushindi wa mabao 3-2 Uholanzi.
HATA kama Louis van Gaal alianza kufunga, lakini haikuwa
mechi ya kukaa kwenye kiti. Ulikuwa mchezo mgumu kwake kutokana na uimara wa
Australia, lakini dakika za mwisho zimemalizika kwa Uholanzi kushinda mabao
3-2.
Bao la kusawazisha alilofunga Timu Cahil liliwashitua
Waholanzi ambao waliokuwa wanashangilia bao la Arjen Robben, lakini kabla
hawajakaa wakashangaa nyavu zao kutikishwa.
Australia ambao wako kiwango cha chini kuliko timu zote
zinazoshiriki kombe la dunia mwaka huu, walifanya shambulizi la kushitukiza na
kufunga goli bora. Pia walijiamini, walikuwa na mipango na kuwayumbisha wana
fainali hao wa 2010 nchini Afrika kusini na wababe wa mabingwa Hispania katika
mchezo wa kwanza ambao walishinda mabao 5-1.
Bao la kwanza la Uholanzi lilifungwa na Arjen Robben, lakini
Australia wakasawazisha kupitia kwa Tim Cahil.
Autralia waliandika bao la kuongoza kupitia kwa Mile Jedinak
kwa mkwaju wa penati, lakini Robin Van Persie aliisawazishia Uholanzi na
hatimaye Memphis Depay akitokea benchi alifunga bao la tatu na la ushindi.
Aliingia kumaliza kazi!: Memphis Depay akitokea benchi amefunga bao la tatu kwa shuti la mbali na kuipa ushindi wa mabao 3-2 Uholanzi.
HATA
kama Louis van Gaal alianza kufunga, lakini haikuwa mechi ya kukaa
kwenye kiti. Ulikuwa mchezo mgumu kwake kutokana na uimara wa Australia,
lakini dakika za mwisho zimemalizika kwa Uholanzi kushinda mabao 3-2.
Bao
la kusawazisha alilofunga Timu Cahil liliwashitua Waholanzi ambao
waliokuwa wanashangilia bao la Arjen Robben, lakini kabla hawajakaa
wakashangaa nyavu zao kutikishwa.
Australia
ambao wako kiwango cha chini kuliko timu zote zinazoshiriki kombe la
dunia mwaka huu, walifanya shambulizi la kushitukiza na kufunga goli
bora. Pia walijiamini, walikuwa na mipango na kuwayumbisha wana fainali
hao wa 2010 nchini Afrika kusini na wababe wa mabingwa Hispania katika
mchezo wa kwanza ambao walishinda mabao 5-1.
Bao la kwanza la Uholanzi lilifungwa na Arjen Robben, lakini Australia wakasawazisha kupitia kwa Tim Cahil.
Autralia
waliandika bao la kuongoza kupitia kwa Mile Jedinak kwa mkwaju wa
penati, lakini Robin Van Persie aliisawazishia Uholanzi na hatimaye
Memphis Depay akitokea benchi alifunga bao la tatu na la ushindi.

UHOLANZI YAFUZU 16 BORA KWA KUICHAPA AUSTRALIA 3-2
Reviewed by habari motto
on
12:41 AM
Rating: