Wakazi wa Kinyerezi, wakishangaa ajali ya lori lililovunja daraja kutokana na uzito wa gari hilo . Sasa wakazi wa Kinyerezi watalazimika kutumia njia ya Segerea na Mongolandege.