DIAMOND ATUMIA WIMBO WA TAARAB KUWAKEJELI WANAOTAKA AACHANE NA WEMA



 Diamond Platinumz amepost kwenye Instagram kipande cha wimbo wa Taarab kinachowakejeli wote wanaotaka yeye na mpenzi wake Wema Sepetu watengane.
Katika kipande hicho cha video, ameunganisha picha mbalimbali akiwa amepoz na Wema kuonesha jinsi ambavyo penzi lao liko Imara. "Umewaona....?????
CLICK KUIONA HAPAA
DIAMOND ATUMIA WIMBO WA TAARAB KUWAKEJELI WANAOTAKA AACHANE NA WEMA DIAMOND ATUMIA WIMBO WA TAARAB KUWAKEJELI WANAOTAKA AACHANE NA WEMA Reviewed by habari motto on 12:20 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.