MZEE AFIKISHWA MAHAKAMANI KOSA LA KUOA MTOTO WA MIAKA 8

 
Jeshi la polisi wilaya ya Bunda mkoani Mara kupitia dawati la jinsia kwa kushirikiana na idara ya ustawi wa jamii mkoa wa Mara imemfikisha mahakamani mzee mmoja mwenye umri wa miaka 54 Changwe Changige kwa kosa la kumuoa mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane.
MZEE AFIKISHWA MAHAKAMANI KOSA LA KUOA MTOTO WA MIAKA 8 MZEE AFIKISHWA MAHAKAMANI KOSA LA KUOA MTOTO WA MIAKA 8 Reviewed by habari motto on 11:47 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.