RAIS JAKAYA KIKWETE NA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZINZA KATIKA SHEREHE ZA UZINDUZI WA PROGRAMU YA UIMARISHAJI WA MIPAKA YA KIMATAIFA


 Wasanii wa ngoma ya utamaduni kutoka Burundi wakiburudisha kwenye sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi alipowasili eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare  kwa upande wa Burundi wakati wa sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi baada ya kuwasili eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare  kwa upande wa Burundi kuhudhuria  sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014.
 Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi akisalimiana na Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania Profesa Sospeter Muhongo  eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare  kwa upande wa Burundi kuhudhuria  sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi katika picha ya kumbukumbu na wataalamu wa Tanzania na Burundi eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare  kwa upande wa Burundi kuhudhuria  sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa meza kuu pamoja na Waziri wa Ardhi na Maendeleo na Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na Naibu Katibu Mkuu Wizara Uchukuzi Dkt Charles Tizeba eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare  kwa upande wa Burundi wakati wa sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi wa Tanzania na Burundi katika  eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare  kwa upande wa Burundi wakati wa sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014.
 Sehemu ya umati wa wananchi wa Tanzania na Burundi kwenye sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi katika picha ya kumbukumbu na wataalamu wa Tanzania na Burundi eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare  kwa upande wa Burundi kuhudhuria  sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014.
Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi akisalimiana na baadhi ya Watanzania walikuwepo  eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare  kwa upande wa Burundi kuhudhuria  sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014. 
                                                     Picha Kutoka IKULU

RAIS JAKAYA KIKWETE NA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZINZA KATIKA SHEREHE ZA UZINDUZI WA PROGRAMU YA UIMARISHAJI WA MIPAKA YA KIMATAIFA RAIS JAKAYA KIKWETE NA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZINZA KATIKA SHEREHE ZA UZINDUZI WA PROGRAMU YA UIMARISHAJI WA MIPAKA YA KIMATAIFA Reviewed by habari motto on 1:18 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.