WAKAMATWA KWA KOSA LA KUNYWA POMBE MUDA WA KAZI

Jeshi la polisi mkoa wa Mbeya linawashikilia watu 08 kwa kosa la kunywa pombe kabla ya muda.  


Watuhumiwa hao ni pamoja na 1. Jafet Sambwe, 2. Lucas Mwakapemba (21) mkazi wa Ilemi 3. David Mwaipopo (23) mkazi wa Sinde 4. Ezia Lazaro (24) mkazi wa Manga 5. Esau Mwandenga (25) mkazi wa Sangu 6. Tamika Bukuku (27) mkazi wa Ilolo 7. Victoria Mahamudu (25) mkazi wa Sangu na 8. Rosta Mwakilembe (34) mkazi wa Jua Kali. 
WAKAMATWA KWA KOSA LA KUNYWA POMBE MUDA WA KAZI WAKAMATWA KWA KOSA LA KUNYWA POMBE MUDA WA KAZI Reviewed by habari motto on 10:23 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.