AJALI MBAYA YATOKEA, MTOTO AGONGWA NA GARI NA KUFARIKI HAPO HAPO

Tunaomba kwa anaye Mfahamu Mtoto huyu atoe Taarifa  Kituo cha Polisi au Hospitali ya Rufaa Mbeya ambapo Wasamalia wema wamempeleka. Hajatambuliwa bado


Mwili wa marehemu mtoto huyo ukiwa kando muda mchache baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Double Cabin ambayo ilikimbia baada ya kufanya tukio hilo
Baadhi ya wasamalia wema wakiwa wamefika eneo la tukio kwa ajili ya kutoa msaada kwa mtoto huyo ambaye alifariki papo hapo baada ya kugongwa
Baadhi ya wasamalia wema wakichukua mwili wa Marehemu mtoto huyo kwa ajili ya kuupeleka hospitali
 Mashuhuda

 Tukio hili limetokea mida ya saa Tano asubuhi leo ambapo chanzo cha ajali hiyo ni Mwendo kasi wa Gari hilo ambapo halikuchukua tahadhari na kusababisha kugongwa kwa Mtoto huyo pia hajafahamika mpaka sasa.

Picha na Mbeya Yetu DONATE CAR FOR TAX CREDIT 
AJALI MBAYA YATOKEA, MTOTO AGONGWA NA GARI NA KUFARIKI HAPO HAPO AJALI MBAYA YATOKEA, MTOTO AGONGWA NA GARI NA KUFARIKI HAPO HAPO Reviewed by habari motto on 12:43 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.