AJALI NYINGINE MBAYA YATOKEA

Lori aina ya Scania likiwa limeharibika baada kupata ajali kwa kuligonga lori lingine kwa nyuma lililosimama ghafla kwenye tuta katika Kijiji cha Isuna, Barabara ya Singida-Dodoma leo. Inadaiwa dereva wa lori hilo alikufa.
AJALI NYINGINE MBAYA YATOKEA AJALI NYINGINE MBAYA YATOKEA Reviewed by habari motto on 7:38 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.