AJALI NYINGINE MBAYA YATOKEA

Ajali mbaya imetokea leo alfajiri katikati ya madaraja mawili ya chuma yaliyoko katika eneo la Kawe pembeni ya kambi ya JKT Mlalakuwa, Dar es Salaam.
Ajali hiyo imesababisha dereva kupoteza maisha na kuacha vipande vya ubongo vikining'inia katika moa ya mdaraja hayo baada ya gari hilo aina ya Toyota Celica GTR lenye namba za usajili T220ABL kugonga na kisha kuingia kwenye ukingo wa daraja hilo na kisha kutumbukia kwenye mto.

AJALI NYINGINE MBAYA YATOKEA AJALI NYINGINE MBAYA YATOKEA Reviewed by habari motto on 3:03 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.