Baad ya talaka, Amber Rose aweka picha za uchi mitandaoni

Wiki moja iliyopita iliripotiwa kuwepo na picha za utupu zilizovuja za Rihanna, Kim Kardashian, Vanessa Hudgens na mwigizaji Megan Good ambazo zingevuruga maisha yao kama zingesambazwa kwenye mitandao. Pia iliripotiwa kuwa baadhi ya masta hawa walifungua kesi kuzuia kusamba kwa picha hizo kama zitakuwepo.
Jipya ni kwamba aliyekuwa mke wa rapper Wiz Khalifa ‘Amber Rose’ ameweka picha yake akiwa kama alivyozaliwa kwenye kurasa yake ya instagram saa chache baada ya taarifa za talaka yake na Wiz Khalifa kusamba mitandaoni.
amber2

Picha iliambatana na ujumbe ” “Well before anyone tries to hack me i figured i’d release a brand new pic of how i actually look from the back, its only right…Enjoy.”
Baad ya talaka, Amber Rose aweka picha za uchi mitandaoni Baad ya talaka, Amber Rose aweka picha za uchi mitandaoni Reviewed by habari motto on 8:19 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.