CHELSEA YAMNASA, MNYONGE WA LIVERPOOL



Wakati Liverpool walimuona hana afya njema kwa kufeli vipimo vya afya, Chelsea imemsajili mshambuliaji Loic Remy raia wa Ufaransa.

Remy kutoka QPR ametua Chelsea kwa mkataba wa miaka minne wenye thamani wa pauni milioni 8.

Chelsea imemsajili Mfaransa huyo huku Arsenal ikiwa katika hatua za mwisho kumnasa, lakini wapi 

CHELSEA YAMNASA, MNYONGE WA LIVERPOOL CHELSEA YAMNASA, MNYONGE WA LIVERPOOL Reviewed by habari motto on 8:51 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.