CHUCHU AWAFUNGUKA KWA WANAOPONDA PENZI LAO




 Staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans akiwa na mpenzi wa Vincent Kigosi ‘Ray’.
MALOVEE! Staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans, amewashukia watu wanaoiponda ‘kapo’
 yake na mwigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ na kusema hata iweje, mambo yao yatakwenda kama walivyopanga.
 
Staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans.
Chuchu alisema katika maisha ya mwanadamu kama Mungu amepanga kitu siku zote kitatimia hivyo anaamini wanaopinga uhusiano wao kwa maneno ya chinichini na kwenye mitandao ya kijamii ni maadui lakini hawatashinda.
“Najua kabisa nina maadui wengi sana lakini naamini Mungu atasimama wanaiponda sana ‘kapo’ yetu lakini Mungu akipanga kitu siku zote lazima kitatimia  hakuna ubishi,” alisema Chuchu.Kabla ya kuwa na uhusiano na Ray, Chuchu aliwahi kuolewa na mtangazaji Frank Mtao ambaye inasemekana wameshamwagana.

CHUCHU AWAFUNGUKA KWA WANAOPONDA PENZI LAO CHUCHU AWAFUNGUKA KWA WANAOPONDA PENZI LAO Reviewed by habari motto on 8:38 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.