DUHH... SIKIA JINSI WEMA SEPETU ALIVYOFUNGUKA KUHUSIANA NA KUAJIRIWA NA KAJALA

http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/01/Wema-sepetu1.jpgKupitia mitandao na magazeti siku chache zilizopita ilitoka stori ambayo ilidai Kajala anaelekea kumuajiri Wema Sepetu,leo Wema kapatikana na kakubali kuongelea isue hizo zote ikiwemo hiyo ya Kajala. 
Kupitia You heard ya  XXL ya Clouds Fm Soudy Brown alianza kwa kutaka kufahamu kama kweli Kajala anaweza kumuajiri yeye[Wema],Wema Sepetu akamjibu>>’Inawezekana,kila kitu kinawezekana Soudy’
Kuhusu mshahara ambao anataka kulipwa na Kajala,Wema Sepetu amejibu>>’Kwa Kajala mi sihitaji mshahara hata bure nitafanya kazi kwa Kajala,shughuli yoyote nitafanya Soudy’
Soudy Brown alipomuuliza kuhusu fununu za Meninah kutoka na Diamond,Wema amejibu>>’Mimi sijui Soudy bwana na wala sijali’.
98.6 Clouds Fm inasikika ukiwa Musoma.
Bonyeza play kusikiliza.
MESOTHELIOMA LAW FIRM 
DONATE CAR TO CHARITY CALIFORNIA 
DONATE CAR FOR TAX CREDIT 

DUHH... SIKIA JINSI WEMA SEPETU ALIVYOFUNGUKA KUHUSIANA NA KUAJIRIWA NA KAJALA DUHH... SIKIA JINSI WEMA SEPETU ALIVYOFUNGUKA KUHUSIANA NA  KUAJIRIWA NA KAJALA Reviewed by habari motto on 10:23 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.