EEE MUNGU UTUREHEMU.. AJALI NYINGINE YATOKEA..YAHUSISHA BASI LA SUPER FEO NA UPENDO





Ajali mbaya imetokea asubuhi hii ikihusisha mabasi mawili ya kampuni ya SUPER FEO likitokea Dodoma kuelekea Songea na basi laUPENDO TRAVELLERS kutokea Dodomakuelekea jijini Mbeya.Taarifa za kutoka eneo la tukio zinasemakuwa chanzo cha ajali hiyo ni pundaaliyekatisha barabarani na mwendo kasi wabasi la upendo bila umakini wa dereva wabasi hilo.Walisema abiria waliokuwa katika basi laupendo kuwa walikuwa wakilifuata basi laSuper feo kwa kasi bila kuacha safetydistance (nafasi ya usalama kati ya basimoja na lingine nyuma au mbele ) haliiliyopelekea ajali hiyo kutokea pale dereva wabasi la Super feo aliposimama ghaflakuepuka kugonga punda aliyekuwa akikatishabarabarani.Taarifa zinaendelea kudai kuwadereva wa basi la upendo amevunjika miguuna wengine wamejeruhiwa vibaya!
EEE MUNGU UTUREHEMU.. AJALI NYINGINE YATOKEA..YAHUSISHA BASI LA SUPER FEO NA UPENDO EEE MUNGU UTUREHEMU.. AJALI NYINGINE YATOKEA..YAHUSISHA BASI LA SUPER FEO NA UPENDO Reviewed by habari motto on 1:41 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.