HATIMAYE PETIT MAN AWEKA MAMBO HADHARANI

Meneja wa msanii, Mirror na mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, Petit Man ambaye awali alidaiwa kuwa na uhusiano na Kajala, kisha kuwa na mdogo wake Vanessa Mdee, amethibitisha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na dada yake Diamond Platnumz, Esma na kwamba ana mipango ya kufunga naye ndoa.

“Ni kweli Esma ni mchumba wangu na Mungu akijalia soon tunafunga ndoa,” alisema Petit kwenye kipindi cha My Playlist cha Clouds TV. Alipoulizwa jinsi Diamond anavyouchukulia uhusiano wao, alisema: Unajua siwezi kumsea moyo wake lakini naona kawaida na hamna tatizo lolote.”
HATIMAYE PETIT MAN AWEKA MAMBO HADHARANI HATIMAYE PETIT MAN AWEKA MAMBO HADHARANI Reviewed by habari motto on 11:34 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.