Haya ni mambo 10 ya kuzingatia unapoonana na mpenzi/ rafiki uliyekuwa unawasiliana naye tu kwenye simu


USISEME MANENO HAYA

  1. Unaonekana tofauti na picha uliyonitumia/kuona
  2. Nimesahau pochi/wallet yangu! (na hutakiwi kusahau)
  3. Mpenzi wangu wa zamani alikuwa anapenda sana kuja hapa!
  4. Unavutia sana, Tunaweza kuwa wapenzi (endapo sio mpenzi wako)
WAKATI WA KUAGANA, ZINGATIA HAYA MANENO
  1. Ilikuwa siku nzuri sana kuonana na wewe!
  2. Asante kwa kukubali wito wangu, safari salama!
  3. Ningependa tuendelee kuongea ila Kwa kweli nahitaji kuondoka!
  4. Asante kwa kuifanya siku yangu iwe njema
  5. Nimefurahi sana kufahamiana na wewe!
  6. Sikuwahi kujua kama unauwezo fulani (taja ulichogundua kwake) siku njema
NA KUMI MUHIMU
Haya ni mambo 10 ya kuzingatia unapoonana na mpenzi/ rafiki uliyekuwa unawasiliana naye tu kwenye simu Haya ni mambo 10 ya kuzingatia unapoonana na mpenzi/ rafiki uliyekuwa unawasiliana naye tu kwenye simu Reviewed by habari motto on 10:42 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.