HIVI NDIVYO ILIVYOFANA, KILI MUSIC TOUR TANGA

Tamasha la Kili Music Tour limekamilisha awamu ya kuzunguka mikoani kwa show iliyofana katika uwanja wa Mkwakwani Tanga. Tamasha hilo linalidhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager lilipambwa na burudani toka kwa wasanii wanaofanya vizuri nchini wakiongozwa na malkia wa mipasho Khadija Kopa na mfalme wa taarab Mzee Yusuph ambao waliongoza kundi la wasanii kumi kutoa burudani kwa wakazi wa Tanga

Tamasha hili sasa linarejea jijini Dar es Salaam ambapo Jumamosi Septemba 6 litahitimishwa katika viwanja vya Leaders Club.



 Umati wa mashabiki ukisubiria kwa hamu burudani uwanja wa Mkwakwani.

 Backstage: Nikki wa Pili na Ommy Dimpoz

 Backstage: Profesa Jay

Ommy Dimpoz ndiye aliifungua pazia la burudani Mkwakwani.

  Richard Mavoko akiimba kwa hisia katika Kili Music Tour Tanga

 Ben Pol mmoja ya wasanii walioshangiliwa sana katika usiku wa Kilimanjaro Music Tour akiwa jukwaani

 Backstage: Joh Makini
 Profesa Jay akichana moja ya nyimbo zake kali
 Mkongwe wa Hip Hop Profesa Jay akisikiliza kelele za mashabiki waliokuwa wakiimba wimbo wake wa zari la mentali

 Joh Makini toka Weusi akiwa jukwaani

 Shabiki akionyesha bango la Weusi

 Nikki wa Pili

  Mashabiki wakionyesha tshirt zao zenye nembo ya Weusi

 DJ Choka akiwa kazini

 Weusi wakilishambulia Jukwaa kwa pamoja

 Malkia wa Mipasho Khadija Kopa akiimba nyimbo zake zinazotamba

 Mfalme wa Taarab nchini Mzee Yusuph akiifunga burudani uwanja wa Mkwakwani

 Mzee Yusuph na madansa wake wakicheza staili ya kiduku

 Malkia akifurahia burudani toka kwa mfalme

Mashabiki waliofurika uwanja wa Mkwakwani Tanga wakishangilia mara baada ya Kili Music Tour kukamilikama
HIVI NDIVYO ILIVYOFANA, KILI MUSIC TOUR TANGA HIVI NDIVYO ILIVYOFANA, KILI MUSIC TOUR TANGA Reviewed by habari motto on 11:52 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.