HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA, WAPOTEZA MAISHA KANISA LA TB JOSHUA


Idadi ya watu waliokufa kwenyeghorofa la makao makuu ya Kanisa la SCOAN (Synagogue Church of All Nations) la Nabii TB Joshua wamefikia 50.Jengo hilo la ghorofa tano ambalo ni makao makuu ya kanisa na nyumba ya kulala wageni liliporomoka Jumamosiwakati ujenzi ukiendelea.Hadi kufikia jana Jumapili jumla ya watu 41 walikuwa wameripotiwa kufa, lakini maitinyingine tisa zimeongezeka leo hii.Inaelezwa kwamba, mhubirihuyo wa kimataifa alipewa kibali cha kujenga ghorofa mbili, lakini mwenyewe akaamua kujenga ghorofa tano.Uokoaji bado unaendelea na watu wengine 124 walikuwa wameokolewa wakiwa hai hadi kufikia jana Jumapili.
Mmoja wa majeruhi waliookolewa kwenye kanisa hilo akiwa hajitambui.Jengo hilo liko katika eneo la Ikotun magharibi mwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Lagos.
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA, WAPOTEZA MAISHA KANISA LA TB JOSHUA HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA, WAPOTEZA MAISHA KANISA LA TB JOSHUA Reviewed by habari motto on 7:45 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.