HIVI NDIVYO POLISI WALIVYOJIPANGA KUMLINDA MWENYEKITI MBOWE WAKATI AKIENDA MAHAKAMANI.

 Jeshi la polisi limeimalisha ulinzi katika maeneo yote ambayo yalitajwa na chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa ndiyo watapitia wakiandamana kwenda kwenda Bungeni kuanzia saa 4 asubuhi ya leo
Polisi wakiwa wamefunga kamba kati barabara ya mzunguko ya stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani na chuo cha biashara CBE  kwaajili ya kuwazuia waandamanaji hao waliopanga kwenda Bungeni
 Polisi wapanda farasi wakiimalisha ulinzi katika viwanja vya nyerere Squere ambapo Chadema wamepanga kuanzia maandamano kuelekea bungeni.
 Askali polisi wakiwafanya mawasiliano kwenye gari lao ambalo lilikuwa limepakia mbwa kwa ajili ya kuimalisha ulinzi katika viwanja vya Nyerere Dodoma kwa ajili ya kuwazuia waandamanaji wa Chadema walipanga kuandamana kwenda Bungeni.
HIVI NDIVYO POLISI WALIVYOJIPANGA KUMLINDA MWENYEKITI MBOWE WAKATI AKIENDA MAHAKAMANI. HIVI NDIVYO POLISI WALIVYOJIPANGA  KUMLINDA MWENYEKITI MBOWE WAKATI AKIENDA MAHAKAMANI. Reviewed by habari motto on 5:41 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.