HIVI NDIVYO TIMU YA BARCELONA ILIVYOMPA HESHIMA KOCHA WAKE ALIYEFARIKI DUNIA

Vilanova looks on during Barcelona's  clash against Paris Saint-Germain in April 2013, one of his last matches as manager of the club
BARCELONA wameamua kumpa heshima ya kipekee kocha wao aliyefariki msimu uliopita, Tito Vilanova kwa kuubadili jina la uwanja wao wa mazoezi na kuubatiza jina la kocha huyo.
Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Bodi ya wakurugenzi wa Barcelona wamethibitisha mapendekezo ya kuubadili jina uwanja wao mkuu wa mazoezi na kuuita ‘Campo de Entrenamiento Tito Vilanova’ kumuenzi kocha huyo aliyefariki kwa kansa ya koo mwezi April akiwa na umri wa miaka 45.
Klabu inaamini ni katika uwanja huo ndipo Vilanova aliweza kufanya kazi nzuri ya kukiandaa kikosi cha Barcelona, hivyo wanaona hii ndio njia sahihi ya kumuenzi mtaalam huyo.
HIVI NDIVYO TIMU YA BARCELONA ILIVYOMPA HESHIMA KOCHA WAKE ALIYEFARIKI DUNIA HIVI NDIVYO TIMU YA BARCELONA ILIVYOMPA HESHIMA KOCHA WAKE ALIYEFARIKI DUNIA Reviewed by habari motto on 11:30 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.