HUYU NDIYE MREMBO KANDA YA ZIWA 2014

Malkia wa kanda ya Ziwa, 'Miss Lake Zone 2014' Rachael Clavery (katikati) akiwa jatika picha ya pamoja na mshindi wa pili Mary Emanuel (kulia) na Mshindi wa tatu Nikole Sarakikya (kushoto) mara baada ya kutawazwa kuwa ndio washindi na kujinyakulia tiketi ya kushiriki Miss Tanzania 2014.NEUSON Rachael aliwashinda warembo wengine 17 na kujinyakulia zawadi ya Gari la lenye thamani Shilingi millioni 10 katika shindano lililofanyika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza mwishoni mwa wiki. 

HUYU NDIYE MREMBO KANDA YA ZIWA 2014 HUYU NDIYE MREMBO KANDA YA ZIWA 2014 Reviewed by habari motto on 9:22 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.