Kidole cha kati chasababisha maafa kwa Mchezaji Samba

Christopher Samba alifanyiwa kitendo cha kibaguzi 
BEKI wa zamani wa Queens Park Rangers na Blackburn Rovers, Christopher Samba amefungiwa mechi mbili na chama cha soka cha Urusi (RFU) kufuatia kujibu mapigo kwa kufanyiwa kitendo cha ubaguzi wa rangi.
Beki huyo raia wa Congo, alikuwa anaichezea Dynamo Moscow jana jumapili na alifanyiwa kitendo hicho na mabeki wa Torpedo Moscow. 

Kujibu mapigo, Samba aliwaoneshea kidole cha kati kinachoashiria matusi na alitolewa kipindi cha pili.
Kidole cha kati chasababisha maafa kwa Mchezaji Samba Kidole cha kati chasababisha maafa kwa Mchezaji Samba Reviewed by habari motto on 5:04 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.