Kocha wa Manchester mgongano na wachezaji wake

LOUIS VAN GAAL AKIRI WACHEZAJI MAN UNITED HAWAELEWI MBINU ZAKE

Louis van Gaal alishuhudia vijana wake wakipokea kutoka kwa Leicester wikiendi iliyopita
LOUIS van Gaal amekiri kuwa wachezaji wa Manchester United wana matatizo ya kuelewa mbinu zake mpya.
Mholanzi huyu aliitisha kikao kilichodumu kwa saa moja baada ya kufungwa na 5-3 na Leicester jumapili iliyopita.
Mshambuliaji wa United, Robin van Persie alisema kulikuwa na mgongano wa mawazo katika kikao hicho, lakini anahisi yote ilikuwa ni kwa faida ya kikosi.
Mholanzi huyu amekiri kuwa Kipigo kilitokana na ukweli kwamba baadhi ya wachezaji wameshindwa kuelewa mbinu zake
Ikiwakosa wachezaji 10 kutokana na majeruhi na kutumikia adhabu, leo United inatarajiwa kuwa na muonekano mpya dhidi ya West Ham, Ingawa Van Gaal amekiri baadhi ya wachezaji hawajaendana na mbinu zake. 
"Tulizungumaza mambo mengi na wanatakiwa kufanyia kazi" Alisema
Kocha wa Manchester mgongano na wachezaji wake Kocha wa Manchester mgongano na wachezaji wake Reviewed by habari motto on 8:46 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.