KUTANA NA MWANAFUNZI WA KIKE MDOGO LAKINI HATARI SANA JIJINI DAR!


 Nyuma ya tukio la denti wa darasa la tano kwenye shule moja ya msingi iliyopo Mbezi-Shamba, Dar, aliyejitambulisha kwa jina moja la Irene (11) la kunaswa akifanya utapeli kwa kuwaibia raia, mazito yameibuka.Katika tukio hilo lililojiri hivi karibuni maeneo ya Posta Mpya, Dar, denti huyo alikuwa akisimama nyakati za asubuhi akivalia sare za shule huku akiombaomba kwa madai kuwa hana nauli ya kuvukia katika kivuko cha Kigamboni kwenda shule anayosoma. 

Kwa mujibu wa mmoja wa mashuhuda, mtoto huyo alikuwa akisimama mbele  ya Kituo cha Daladala cha Posta mpya akijifanya ombaomba kwa madai kwamba hana  nauli.Ilisemekana kwamba siku nyingine mtoto huyo alikuwa akionekana akiuza simu kwa bei chee na alipohojiwa alikokuwa akizitoa alidai ameziokota.
KUTANA NA MWANAFUNZI WA KIKE MDOGO LAKINI HATARI SANA JIJINI DAR! KUTANA NA MWANAFUNZI  WA KIKE MDOGO LAKINI HATARI SANA JIJINI DAR! Reviewed by habari motto on 8:38 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.