KUWA WA KWANZA KUISIKIA NYIMBO YA DIAMOND AKIRAP NA GODZILLA.



Kipaji ni Kipaji Tu , Uwezi Amini ila ndo Hivyo Mzee Mzima Diamond Platnumz Kumbe na Upande wa Kurap Ama Kuchana yupo Vizuri Sana, Kina Nay Wasipoangalia Wataondolewa Kwenye Game.....Sikiliza Wimbo Ambao Diamond Amechana/Rap Verse ya Kwanza na ya Pili Kamalizia Mzee Mzima Godzilla, Wimbo Umefanywa na Producer Zachaa wa Mj Records.



Wimbo Huu Hapa:


KUWA WA KWANZA KUISIKIA NYIMBO YA DIAMOND AKIRAP NA GODZILLA. KUWA WA KWANZA KUISIKIA NYIMBO YA DIAMOND AKIRAP NA GODZILLA. Reviewed by habari motto on 8:30 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.