MAGAIDI WA AL- SHABAB YAPATA PIGO ZITTO

     
Ahmed Godane, kiongozi wa kundi la magaidi wa Alshabab ameuwawa na jeshi la Marekani, kifo chake kilitokea Jumatatu wiki.

Wanajeshi wa Marekani wamemfanyia shambulizi Godane  na kusababisha 


Jumatatu wiki hii, Jeshi la Marekani lilifanya shambulizi lililomlenga godane, ambaye alikura kiapo cha utii kwa Al qaeda.alikuwa akiongoza Al Shabaab na kufanya ugaidi mashariki mwqa afrika kwa kuwauwa viongozi wa serikali ya Somali, wafanyakazi wa mashirika ya misaada na kufanya milipuko ya mabomu ya mhanga. Pia inadaiwa  alihusika na shambulizi  la mwaka 2013 katika mall ya westgate mjini Nirobi Kenya ambapo watu karibu 80 waliuwawa.

Kifo chake kitaleta pengo kubwa kwa magaidi hao ambao wanahodhi eneo kubwa la pwani ya Somalia, alikuwa na miaka 37.
MAGAIDI WA AL- SHABAB YAPATA PIGO ZITTO MAGAIDI WA AL- SHABAB YAPATA PIGO ZITTO Reviewed by habari motto on 10:28 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.