Matokeo ya mechi zote Ligi kuu ya England zilizochezwa jumamosi.. Lampad azidi kuwa tishio

TIMU 16 za Ligi Kuu ya England zilijitosa viwanjani jana Jumamosi kusaka pointi tatu muhimu na kushuhudia Liverpool na Arsenal zikibanwa kwa sare huku wapinzani wao wakubwa wakiibuka na ushindi.Frank Lampard is congratulated by Pablo Zabaleta after scoring Manchester City's fourth and final goal at the KC Stadium

Manchester City, Chelsea na Manchester United zikaibuka na ushindi. Timu hizi tatu pamoja na Liverpool na Arsenal ndizo zinazotarajiwa kuwa na vita vikuwa vya kuwania nafasi nne za juu (Top 4)
Hadi dakika ya 21, Machester City iliyokuwa ikiumana na Hull City iliongoza 2-0 kwa magoli ya Sergio Aguero na Edin Dzeko lakini wakashuhudia beki wao mpya Eliaquim Mangala akijifunga kabla Abel Hernandez hajafunga kwa penalti na kufanya timu hizo ziende mapumziko zikiwa 2-2.
Edin Dzeko akafunga la tatu dakika ya 68 huku kiungo mkongwe Frank Lampard akihitimisha ushidi kwa bao la dakika ya 87.
Lampard was in the right place at the right time to convert Zabaleta's cross for his fourth goal in his last three matches
Haya ndio matokeo kamili ya mechi zote za Jumamosi.
Liverpool 1 - 1 Everton
Chelsea 3 - 0 Aston Villa
Crystal Palace2 - 0Leicester
Hull 2 - 4 Man City
Man Utd 2 - 1 West Ham
Southampton 2 - 1QPR
Sunderland 0 - 0 Swansea
Arsenal 1 - 1 Tottenham
Matokeo ya mechi zote Ligi kuu ya England zilizochezwa jumamosi.. Lampad azidi kuwa tishio Matokeo ya mechi zote Ligi kuu ya England zilizochezwa jumamosi.. Lampad azidi kuwa tishio Reviewed by habari motto on 11:25 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.