MR. NICE AWACHANGANYA WAREMBO

wengine tumeolewa na tuna familia zetu  na tunamueshimu Mr nice kama msanii mwenzetu na kama kaka yetu,  na ndugu zetu na tunawaeshimu sana na wao wanatueshimu sasa wanavyosikia mambo kama haya wanajisikia vibaya kabisa .Solange akiwa na Mr nice wanashuti movie Location
Sababu tu wao wanavyokazania kuwa sisi tumelala kweli na mr nice kwa kweli nashindwa kuwaelewa .na  naona  mtu kuwa msanii kunatokea  vitu vingi na kwasasa naona kuwa msanii ni vita vikubwa Sana kwa sababu inaomba mtu awe mvumilivu  Sana si mchezo kabiasa haya mambO
DONATE CAR FOR TAX CREDIT1476365_778923798791058_435752319_n
MR. NICE AWACHANGANYA WAREMBO MR. NICE AWACHANGANYA WAREMBO Reviewed by habari motto on 8:23 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.