Nyangumi mwingine aonekana Ufukweni Pemba


Wafanyakazi wa Uvuvi pemba wakimpima Nyangumi aliyeonekana Pemba akiwa ameanguka ufukwe wa bahari wa shamiani.

Wananchi wakikata minufo ya Nyangumi aliyeangukia katika ufukwe wa bahari ya Pemba maeneo ya shamiani, kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika harakati hizo.
Nyangumi mwingine aonekana Ufukweni Pemba Nyangumi  mwingine aonekana Ufukweni Pemba Reviewed by habari motto on 8:10 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.