ONA HAPA JINSI SIMBA ALIVYOVAMIA GARI LA WATALII

Vipo vingi vya kuviletea mazoea, lakini sio simba ndugu yangu, hata wataalamu wa masula ya wanyama wanasema nidhamu ni kitu muhimu unapokuwa ndani ya hifadhi, gallery_673_54_25907

Sasa watalii kadhaa waliona wanaweza kujiachia tu na kumchokoza simba kilichowakuta sidhani kama watarudia tena, kwa wale watu wa kanda ya ziwa ukisikia nenno kama 'kabili 
ng'wanza!' unaweza kuelewa.

Nisiseme sana shuhudia simba wa jangwani alivyowavamia watalii hawa huko Namibia.
gallery_673_54_20905gallery_673_54_25907gallery_673_54_29804
gallery_673_54_53541
gallery_673_54_7938gallery_673_54_4163gallery_673_54_4191gallery_673_54_20692gallery_673_54_20172
The lion smashed one of the windows...
The lion smashed one of the windows…
...and made a mess of the paint and bodywork with his claws
…and made a mess of the paint and bodywork with his claws
gallery_673_54_7390
Chanzo Tabia Nchi Blog
ONA HAPA JINSI SIMBA ALIVYOVAMIA GARI LA WATALII ONA HAPA JINSI SIMBA ALIVYOVAMIA GARI LA WATALII Reviewed by habari motto on 5:02 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.