PICHA : KASSIM MGANGA NA AUNT EZEKIEL MAPENZI NJE NJE HUKO USA


Kutoka nchini marekani inasemekana kuwa mwandada Aunt Ezekiel na mwana muziki Kassim Mganga wapo katika mapenzi moto moto.

Wawili hao ambao wamefikia Hotel moja nchini humo wamepiga picha wakiwa pamoja sehemu mbali mbali wakiwa watu wenye furaha.

Aunt alipost picha hizo kwenye mtandao wake wa kujamii wa Insta na kuandika maneno yenye utata mkubwa mwanadada huyo aliandika " Tnx god we done " " usiku wa fujo ntakupeleka ukalime ndimu hahahha Kasim ww ni mwehu aisee " Hayao ndiyo maneno aliyo andika Aunt kwenye picha hizo.
JE! nikweli Aunt na Kassim wanatoka?? sisi hatuna majibu lakini Aunt si anamume wake?? Endelea kukaa na swaggyBlog kwa muendekezo wa habari
PICHA : KASSIM MGANGA NA AUNT EZEKIEL MAPENZI NJE NJE HUKO USA PICHA : KASSIM MGANGA NA AUNT EZEKIEL MAPENZI NJE NJE HUKO USA Reviewed by habari motto on 2:50 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.