ROSE NDAUKA AFUNGUKA KUHUSIANA UHUSIANO WAKE NA HUYU JAMAA


MWIGIZAJI nyota wa filamu, Rose Ndauka ameibuka na kukanusha vikali uvumi uliozagaa kuwa uchumba wake na Malick Bandawe umevunjika na kusema siyo kweli kwani bado upo ngangari kuliko kawaida. 
Mwigizaji nyota wa filamu Bongo, Rose Ndauka.
Akistorisha  juzikati, mwigizaji huyo anayeishi na mchumba wake huyo, alisema uvumi huo hauna msingi kwa sababu asubuhi ya siku hiyo (Jumatatu) alikuwa amemnyooshea nguo alizovaa wakati akielekea kazini kwake.
Rose Ndauka akiwa na mpenzi wake Malick Bandawe.
Awali, kulikuwa na madai ya kuwepo kwa mtafaruku baina ya wawili hao na kudaiwa kuachana kutokana na mmojawapo kulala nje siku tatu, kitendo kilichochochewa na kuonekana kwa Rose akiwa peke yake wakati wa fainali za kumtafuta msanii chipukizi zilizofanyika katika ukumbi wa Mlimani City wiki iliyopita. STRUCTURED ANNUITY SETTLEMENT 
Stori: Gladness Mallya
MESOTHELIOMA LAW FIRM 
DONATE CAR TO CHARITY CALIFORNIA 
DONATE CAR FOR TAX CREDIT 
DONATE CARS IN MA
ROSE NDAUKA AFUNGUKA KUHUSIANA UHUSIANO WAKE NA HUYU JAMAA ROSE NDAUKA AFUNGUKA KUHUSIANA  UHUSIANO WAKE NA HUYU JAMAA Reviewed by habari motto on 9:12 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.