SHILOLE: SIWEZI KUACHANA NA NUH

SHILOLE
KUFUATIA varangati lililotokea Tabora katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014,  baada mpenzi wa mwanamuziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’,  Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kukataliwa na mashabiki, Shilole ameamua kufunguka kuwa Nuh atabaki kuwa mpenzi wake katika hali yoyote.
Mwanamuziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Akizungumza na paparazi wetu, Shilole alisema lengo lake lilikuwa ni kumtambulisha mpenzi wake kwa mashabiki wake japo walimkataa kuwa shemeji yao.
‘Shilole’ akiwa na mpenzi wake ‘Nuh Mziwanda’.
SHILOLE: SIWEZI KUACHANA NA NUH SHILOLE: SIWEZI KUACHANA NA NUH Reviewed by habari motto on 9:46 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.