SHUHUDIA JINSI WAREMBO MISS TANZANIA WAKIJIFUA GYM KUIWEKA MIILI YAO SAFI

 Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia siku ya pili ya kambi yao jijini Dar es Salaam na baada ya semina asubuhi na mapumziko ya mchana jioni hii wamefanya mazoezi katika chumba maalum cha mazoezi 'Gym', ungana na mpigapicha wa Father Kidevu Blog katika picha mbalimbali za warembo hao katika kambi yao. 

SHUHUDIA JINSI WAREMBO MISS TANZANIA WAKIJIFUA GYM KUIWEKA MIILI YAO SAFI SHUHUDIA JINSI WAREMBO MISS TANZANIA WAKIJIFUA GYM KUIWEKA MIILI YAO SAFI Reviewed by habari motto on 3:09 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.