

Ajali ya Helicopter ya Maliasili na Utalii imegharimu maisha ya marubani 3 wa Jeshi la Polisi Tanzania. Sp Kidai Kaluse, Insp.Simba Must Simba, Pc. Josso Selestine, Na rubani mmoja Capt. Khalfan,Ajali hiyo imetokea huko Kipunguni B Moshi Bar,Ukonga-Ilala jijini Dar es Salaam. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikaa mpaka sasa.
Chanzo:GPL
Chanzo:GPL
Hii Ndiyo Helikopta Iliyoanguka Jijini Dar-Es-Salaam
Reviewed by habari motto
on
1:16 AM
Rating: