Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Jerry Silaa katika siku ya nane ya ziara yake jana mkoani simiyu amezoa wanachama wapya 323 kwenye kitongoji cha Imalilo kata ya Bunamhala wilayani Bariadi.
Jerry Silaa Avuna Watu Zaidi Ya 300
Reviewed by habari motto
on
10:41 AM
Rating: 5