
“Sema Jokate sasa hivi yuko mbio sana ila akitulia itamalizika. Pia studio ya Pesa Record tukiwa chini ya mkurugenzi wetu Mwinyi Pesa tumeanzisha Pesa Entertainment ambayo ina msanii Becka Title. Atatoa wimbo ijumaa hii itakuwa kama ndo kama anatuzindulia licha ya kuwa kuna mambo mengine yatafuata,” aliongeza Allonem ambaye pia alitengeneza beat ya wimbo wa Fid Q na Bi Kidude.
Jokate Kuja Kivingine Tena....
Reviewed by habari motto
on
1:30 PM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
1:30 PM
Rating: