Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa na wahudumu wa afya baada ya kudondoka ghafla ndani ya Jengo la Ukumbi wa Buge leo mchana.Chanzo cha kuanguka kwake bado hakijafahamika na sasa yupo kwenye uangalizi wa madaktari kwa uchunguzi zaidi.
Mbuge Aanguka Ghafla Bungeni
Reviewed by habari motto
on
1:35 PM
Rating: