Shuhudia Jinsi Walivyokutana Mtu Mrefu Na Mtu Mfupi Zaidi Duniani



Tall III
Tumekuwa tukisikia rekodi mbalimbali zikivunjwa na watu duniani na rekodi hizo maalumu huwa zinatunzwa katika kitabu cha kumbukumbu cha Guiness World Records.

Kwa mara ya kwanza, watu ambao wako katika kitabu hicho kutokana na kuvunja rekodi hizo za kipekee wamekutana London Uingereza siku ya Novemba 13.
Chandra Bahadur Dangi mtu aliyevunja rekodi ya kuwa mtu mfupi kuliko wote Duniani amekutana kwa mara ya kwanza na Sultan Kosen, jamaa ambaye amevunja rekodi ya kuwa mtu mrefu zaidi duniani.
Chandra anatokea Nepal ana urefu cha Sm. 54.6, Sultan anatokea Uturuki ana urefu wa Sm. 251 ambayo ni sawa na futi 8.3.
Hizi ni picha zinazowaonyesha wakali hao wakiwa pamoja.
Tall II
Tall & Short
Tall IV
Tall III 
Tall V
Shuhudia Jinsi Walivyokutana Mtu Mrefu Na Mtu Mfupi Zaidi Duniani Shuhudia Jinsi Walivyokutana Mtu Mrefu Na Mtu Mfupi Zaidi Duniani Reviewed by habari motto on 11:26 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.