Sikia Jinsi Gadner AlivyomKana Jide Mbele Ya Kadamnasi


Hii imetokea jana katika tamasha maalum la kituo kipya cha kazi cha Gardner E.FM ambapo Gardner alipanda jukwaani kujitambulisha mashabiki waliokuwepo wakamuuliza shemeji Jaydee yuko wapi? Akawajibu i am single boy now kisha akaomba awekewe nyimbo ya Single boy ya Ali Kiba na kuicheza jukwaani huku akimpandisha jukwaani shabiki wa kike na kumwambia amvue tishet yake kimahaba kuthibitisha usingo boy wake ambapo demu huyo alimvua kwa staili hiyo gardner huku ukumbi ukilipuka kwa shangwe.

CHANZO-udakuspecially

Sikia Jinsi Gadner AlivyomKana Jide Mbele Ya Kadamnasi Sikia Jinsi Gadner AlivyomKana Jide Mbele Ya Kadamnasi Reviewed by habari motto on 9:25 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.